Posts

Showing posts from August, 2017

GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

HESLB YA KALIBIA KUFUNGA MFUMO WA WA MAOMBI YA MIKOPO

Image
BODI YA MIKOPO  ya wanafunzi wa ngazi ya juu au elimu ya juuu inakaribia kusitisha kupokea maombi ya kuomba mkopo kwa wanafunzi wanao enda kusoma degree mwaka wa 2017 /2018  kwahiyo bodi inawasisitiza kufanya haraka kwa wale ambao hawaja kamilisha kuomba mkopo huo for more explaination visit 'https://www.heslb.go.tz  

HESLB MWONGOZO NA VIGEZO VYA KUPATA MKOPO 2017/2018

HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017. Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa Kiswahili bofya hapa na kwa Kiingereza bofya hapa