GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako

Na Mtumishi Gasper Madumla " Basi Yesu,https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjT-4n_zZFTTtiPQSVjO0uxp79SXe7CEqLC1rk-gOWbT0epewLdol0htwyu3pOoNWUZL8P73t42sVhUudWbD9Ed2TyDD78j0nK1qRCAoQUZO_5CfEYR012lUO3gQeufHSg3vMRFOraPNBp/s1600/430548_10151197131430258_1650545852_n.jpg hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? " Yohana 11:38-40 Bwana Yesu asifiwe sana... Haleluya.... Ninayo furaha siku ya leo kukwambia pasword yako ya kufanikiwa kiroho na kimwili pia. Shida yako ni ugunduzi wa siri ya KUONDOA JIWE ILI BWANA ATENDE MAISHANI MWAKO. Jiwe lilopo kwako ndilo linakupelekea kusota kwingi. Andiko hilo hapo juu;tunamuona Bwana Yesu akifika kaburini mahali alipolazwa Lazaro. Bwana Yesu hali akiugua nafsini mwake,anawaambia akina Martha jambo kubwa sana juu ya muujiza wa ndugu yao Lazaro. Jambo lile lile alilowaambia akina Martha ndilo analokuambia wewe siku ya leo,Bwana Yesu anakuambia ONDOA JIWE,ILI ATENDE. Jiwe lillopo kwa Lazaro lilikuwa ni mithili ya ufupi wa Imani yao waliyokuwa nayo.Au lilikuwa mithili ya kwazo lizuialo muujiza wa Bwana. Bwana Yesu angeliweza kumfufua Lazaro akiwa bado ndani ya lile jiwe,ila bado ingelikuwa hakuna utimilifu wa muujiza huo. Hivyo alihitaji waondoe kwanza jiwe ili afanye kazi yake. Hata siku ya leo Bwana Mungu anafanya kazi,achoki,alali,wala hasinzii,sasa,ili kazi yake ipate kudhihilika ndani yako,huna budi KUONDOA JIWE. Tazama, Bwana Yesu alijua siri ya kudhihilisha utukufu wake,ndio maana kwanza aliwahitaji akina Martha waondoe jiwe. Hakuna muujiza wowote unaotokea mahali penye jiwe,( chukua hilo kwa faida yako siku ya leo) Maana hata ufufuko wa Bwana Yesu,ulihitaji jiwe kuondolewa. Maana imeandikwa; " Hata siku ya kwanza ya juma Mariamu Magdalene alikwenda kaburini alfajiri, kungali giza bado; akaliona lile jiwe limeondolewa kaburini" Yoh.20:1 Bwana Yesu asifiwe.... Ukitaka kuuona utukufu wa Bwana,ondoa jiwe Ukitaka kuchomoka katika hiyo hali uliyonayo sasa,ondoa jiwe ili Bwana atende. Maana yawezekana kwako; Jiwe ni kutokumiani kwako,Au Jiwe ni UCHUNGU ulio ndani yako,Au Jiwe ni HASIRA iliyo ndani yako,Au Jiwe ni KUSHINDWA KUACHILIA mambo yaliyoshika moyo wako. N.K Haleluya.. Nasema,Haleluya... Sema Amen. Yupo mtu ambaye jiwe lake lilikuwa ni UCHUNGU uliokamata moyo wake.UCHUNGU uliotokana na kuumizwa na mtu wake wa karibu. Mtu huyu alikuwa ana muamini Bwana Yesu Kristo kwamba atatenda juu ya shida aliyokuwa nayo,lakini hakupokea muujiza wake kwa takribani muda mrefu, sababu JIWE LA UCHUNGU lilizuia huo muujiza. Pale aliposhughulikia siri ya tatizo la kuondoa shina la uchungu ndani yake,alikuwa sawa sawa ameondoa jiwe ndani yake,na kuanzia hapo Bwana mzee wa siku akatenda. Akapokea mara moja muujiza wake. Mimi sijui kwako mpendwa,ni jiwe gani lilozuia muujiza wako,maana kama kuomba yawezekana kabisa umeshaomba vya kutosha, lakini bado hukupata chochote,Sasa ni wakati wa kujichunguza kwa upya na kuondoa kila aina ya jiwe ndani ya moyo wako,ili Bwana atende. Tazama Bwana Yesu akimwambia Martha; " Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? " Yohana 11:40" Ndivyo akuambiavyo hata wewe siku ya leo. Anakutaka kwanza uamini,ili ukauone utukufu wa Bwana. Ukiamini,atafanya. Mambo yote magumu kwako,kwa Bwana ni mepesi kama nini. Hata Musa aliwataka wana wa Israeli waamini,ili Bwana akawatendee mambo makubwa,tazama tunasoma; " Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele." Kutoka 14:13 Nami nataka nikutangazie kwamba,ukiondoa jiwe lako,ukaamini,UTAUONA WOKOVU WA BWANA. Haleluya... Bwana Yesu asifiwe... Nasema hivi; Bwana Yesu asifiwe.... Kama unaamini sema AMEN. Siku za leo,watu wengi wamezingilwa na JIWE LA ROHO YA UDINI. Roho ya udini ni jiwe tosha la kuzuia muujiza wako. Wapo watu waliokamatwa na roho hii ya udini,wakijiita " sisi ni wa dini fulani,,.." Au " sisi ni wa dhehebu fulani" Sikiliza nikuambie ndugu,kwamba YESU HANA DINI,WALA DHEHEBU BALI ANA WOKOVU TU,YEYE NI BWANA WA mabwana. Kati ya vitu sivipendi duniani pindi nchi idumupo ni roho ya kunga'nga'nia dini,wakati MUNGU wetu hana dini. Ondoa hilo jiwe,njoo kwa Yesu,UOKOKE ili Bwana atende. Ikiwa lipo jiwe la aina yoyote ile ndani ya maisha yako,lenye kuzuia kupokea mambo makubwa yatokayo kwa Baba wa mbinguni,nawe umelichukia jiwe hilo, basi usisite kunipigia simu yangu,ili tuombe pamoja kungo'a kila aina ya pando lisilotokana na BABA wa mbinguni, Ikiwa unaamni hayo,basi unipigie simu,na kama huamini usinipigie, Namba yangu ni hii; 0655-111149. UBARIKIWE. You might also like: YESU KRISTO NI MWANAKONDOO WA MUNGU AONDOAYE DHAMBI ZA ... JINSI YA KUIFAHAMU MIUJIZA YA MUNGU KAA KATIKA IMANI YA USHINDI SIKU ZOTE. SITAMUACHA YESU WANGU KWA MANENO YENU-MAINDA WALAKA KWA FILEMONI * sehemu ya mwisho * Linkwithin Posted by Peter Michael at Thursday, July 10, 2014 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Labels: Gasper Madumla 0 comments: Post a Comment Links to this post Create a Link Newer Post Older Post Home Karibu katika mtandao bora wa kijamii. Related Posts Plugin for WordPress, Blogger... Waliosoma blog hii 796676 Maisha ya ushindi on Facebook Piga kura Ni nini kinachokubariki zaidi katika blog hii? piga kula hapo chini. Masomo ya Neno la MUNGU. Shuhuda Habari mbalimbali za Kikristo. Mengineyo. pollcode.com free polls Director: Peter M Mabula Director: Peter M Mabula Blog hii haifungamani na kanisa lolote bali ipo kwa ajili ya kumtukuza MUNGU. Kuna masomo mengi ya aina zote katika blog hii pia kuna shuhuda za ajabu ambazo BWANA YESU amezitenda katikati ya wanadamu. Hata wewe unakaribisha kushuhudia matendo makuu ya MUNGU aliyokutendea pia karibu kwa ajili ya ushauri wa kiroho na hata maombezi pia. MUNGU akubariki sana Anuani zetu ni mabula1986@gmail.com. Ubarikiwe sana Popular Posts JIFUNZE NDOTO HIZI NA MAANA ZAKE. BWANA YESU asifiwe ndgu yangu. Hapa Maisha ya ushindi blog leo nakuletea ndoto na maana zake. Karibu tujifunze. 1. Kama Utaota Kw... MAJINA 172 YA MUNGU NA TAFSIRI ZAKE Na Mchungaji Peter Mitimingi Majina haya ya MUNGU pamoja na majina ya watu na maana zake yanapatikana katika kitabu kiitwacho NGUVU ... HISTORIA YA MAISHA YA BAHATI BUKUKU (Sehemu ya 2) Bahati Bukuku. Nilipenda kwenda shule kusoma, na hii ilikuwa njia mojawapo ya kuepuka kufanya kazi za nyumbani, hasa kuosha vy... WANATAFUTA KILICHONDANI YAKO Na Askofu mkuu Dr Josephat Gwajima. Ufufuo na uzima. Waganga wakienyeji, wachawi na wasomanyota, na shetani mwenyewe wanapokufuatili... ABEL SULEIMAN:KWA NINI NILIAMUA KUACHANA NA UISLAMU NA KUWA MKRISTO? Na Abel Suleiman Shiriwa UTANGULIZI: Hii ni sehemu ya ushuhuda wangu, ambao nitaeleza ni sababu gani ambayo ilipelekea niachane n... NI KWA NINI NILIAMUA KUACHANA NA UISLAMU NA KUWA MKRISTO? ( 6 Na Abel Suleiman Shiriwa Ushuhuda wa ajabu sana unaendelea, na kama kukusoma sehemu zilizotangulia basi Sehemu ya kwanza FUNGUA H... MASHAMBULIZI KATIKA NDOTO Lengo Kuu: Kujua Jinsi gani wachawi hupambana na wanadamu kwenye ndoto Lengo Mahususi: Tunawezaje kuwashinda Mashambulio haya katika n... NILIMPENDA MSICHANA KUMBE NI JINI NA AMENITESA SANA Naitwa Patrick Bundala niko mailimoja Kibaha ni mwajiriwa wa serikali ni Askari ila nyumbani ni Tabora na huku niko kikazi tu, nina mke n... JIFUNZE KUHUSU KUFUNGA NA KUOMBA Isaya 58:1-14 '' Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dham... NILINYOLEWA NYWELE ZOTE SEHEMU ZA SIRI NA WACHAWI USIKU NIKIWA NIMELALA Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. mwaka 2010 kwa... Lengo la blog hii Blog hii haifungamani na kanisa lolote bali ipo kwa ajili ya kumtukuza MUNGU. Kuna masomo mengi ya aina zote katika blog hii pia kuna shuhuda za ajabu ambazo BWANA YESU amezitenda katikati ya wanadamu. Hata wewe unakaribisha kushuhudia matendo makuu ya MUNGU aliyokutendea pia karibu kwa ajili ya ushauri wa kiroho na hata maombezi pia. MUNGU akubariki sana Anuani zetu ni mabula1986@gmail.com. Ubarikiwe sana Search This Blog Labels Peter Michael (351) Gasper Madumla (135) Shuhuda (120) Josephat Gwajima (118) Frank Philip (75) Peter Mitimingi (63) Ufufuo na uzima (53) Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (38) Zanzibar (37) askofu Zacharia Kakobe (35) Ndoto (32) Maisha ya ushindi (29) sospeter simon (27) Godfrey Miyonjo (24) Mwl Mwakasege (23) Mtume Peter Nyaga (22) Alex mtumishi. (21) P A G (19) Harusi (17) P A G Kawe (17) Mtume Peter Rashid (15) John Chunyuli (13) Maombi. (13) Sam Balele (13) Nickson Mabena (10) Israel. (9) Kabalama Masatu (8) Daniel Mwankemwa (7) Mziki wa injili (7) Sikukuu. (6) Geofrey Mwanza. (5) Nukuu (3) Darasa la uongozi (2) Gerald Robert (2) Utii (2) Florian Katunzi (1) Lucas Magare (1) Solomon Mkubwa (1) G+ Followers Blogroll Blogger news web stats About Popular Posts NILIMPENDA MSICHANA KUMBE NI JINI NA AMENITESA SANA Naitwa Patrick Bundala niko mailimoja Kibaha ni mwajiriwa wa serikali ni Askari ila nyumbani ni Tabora na huku niko kikazi tu, nina mke n... HISTORIA YA MAISHA YA BAHATI BUKUKU (Sehemu ya 2) Bahati Bukuku. Nilipenda kwenda shule kusoma, na hii ilikuwa njia mojawapo ya kuepuka kufanya kazi za nyumbani, hasa kuosha vy... NILINYOLEWA NYWELE ZOTE SEHEMU ZA SIRI NA WACHAWI USIKU NIKIWA NIMELALA Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. mwaka 2010 kwa... JIFUNZE NDOTO HIZI NA MAANA ZAKE. BWANA YESU asifiwe ndgu yangu. Hapa Maisha ya ushindi blog leo nakuletea ndoto na maana zake. Karibu tujifunze. 1. Kama Utaota Kw... MAJINA 172 YA MUNGU NA TAFSIRI ZAKE Na Mchungaji Peter Mitimingi Majina haya ya MUNGU pamoja na majina ya watu na maana zake yanapatikana katika kitabu kiitwacho NGUVU ... NURU KWA MTU NA MAISHA ALIYONAYO. MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA Na Mchungaji Josephat Gwajima Utangulizi: Biblia imeeleza kuhusu nyota ya Yesu ilivyoonekana kutok... HISTORIA YA ASKOFU MOSES KULOLA ASKOFU MKUU MOSES KULOLA Moses Kulola, alizaliwa mwezi Juni 1928, katika familia ya watoto kumi, na watano kati yao bado ni hai.... ROSE MHANDO MALKIA WA NYIMBO ZA INJILI AFRICA MASHARIKI Unapowazungumzia wasanii wa nyimbo za injli maarufu zaidi na wanaofanya vizuri zaidi huwezi kuacha kumtaja Rose Mhando ambaye ... BIBILIA KITABU CHA AJABU KULIKO VITABU VYOTE. BIBLIA TAKATIFU NENO LA KWELI LA MUNGU Blog Archive ► 2012 (101) ► 2013 (696) ▼ 2014 (1169) ► January (92) ► February (74) ► March (107) ► April (102) ► May (111) ► June (138) ▼ July (161) MCHUNGAJI DANIEL KULOLA ANAKUKARIBISHA KATIKA MKUT... NGUVU ZAKO HAZIKO KWENYE KUPIGANA KINACHOFANYWA NA NENO LA MUNGU KAMA LIKIKAA KWA WI... JIFUNZE NAMBA SABA KATIKA MAANDIKO KWA NENO LA MUNGU,NITAZISHUSHA NYAVU *sehemu ya mw... ASALI NDANI YA MZOGA MKAZI WA ARUSHA KARIBU ALHAMISI HII ILI UPATE UPAK... FAHAMU JINSI MUNGU ALIVYOJIFUNUA ZAMANI, NA JINSI ... Ungepewa Dk 1 Uhubiri, Huku Watu Wote Duniani Waki... SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOF... MATUKIO MBALIMBALI YA SEMINA YA BISHOP MABOYA PENN... Kanisa katoliki Tanzania lawataka wajumbe wa UKAWA... MAHAKAMA YAAMUA BISHOP WA REDEEMED CHURCH NI KITON... PIMA UKARIBU WAKO NA BWANA KAMANDA KOVA: TUMEKAMATA WAWILI KWA MAUAJI YA SIST... NITAWAPIGAPIGA WASIWEZE KUSIMAMA AHADI 6 ZA BWANA YESU KUHUSU MAOMBI JOSEPHAT MWINGIRA: JINSI NILIVYOTOKEWA NA BWANA YE... TAWALA ULIMI WAKO HIGHER LEVELS CONFERENCE KATIKA MATUKIO Tamasha la Kusifu na Kuabudu DPC mwisho wa mwezi J... UMUHIMU WA WANAWAKE KWA KANISA (Nguvu ya Waombaji)... SIFA ZA MWANAFUNZI WA YESU. Ratiba ya Mwl. Mwakasege kwa sasa ni zamu ya Tabor... CHANZO CHA UZIMA. *Sehemu ya mwisho* OMBEA TAIFA LA ISRAEL NIMECHOKA KUVAA MAGUNIA. MWANAMKE SUDAN AFUNGULIWA KESI MPYA NA NDUGU ZAKE ... MWANADAMU HAWEZI KUWA MPELELEZI WA MUNGU. *Sehemu ... KIZAZI CHA ZINAA ONGEA NA MUNGU WAKO(2) TUMAINI KATIKA DHIKI MINYORORO MIGUUNI WAKATI WA KUJIFUNGUA YASABABISHA... UNYENYEKEVU WA MOYO. VIFO VYA MITUME WA YESU KUELEKEA JUBILEE YA MIAKA 75 ASSEMBLIES OF GOD WAT... KAZI YA SHETANI NI KUKUANGAMIZA KUANZIA HAPA DUNIA... SIFA NJEMA ZA MSICHANA/MWANAMKE. KANISA KATOLIKI SASA LARUHUSU WANAMAOMBI MTALII KUSHTAKIWA KWA KUACHA BIBLIA HOTELINI UGONJWA WA KANSA YA MATITI NA JINSI GANI YA KUKABI... ASKOFU ALINIKISA CHEYO WA KANISA LA MOROVIAN TANZA... KANISA LA EFATHA MWENGE DAR ESA SALAAM LAANZISHA I... NGUVU YA MAZUNGUMZO MABAYA SIKU YA UOVU NA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA MKAZI WA IRINGA HII SIO YA KUKOSA: MKUTANO MKUBWA ... JIFUNZE NDOTO HIZI NA MAANA ZAKE. PAPA FRANCIS KUKUTANA NA WALIONYANYASWA VATICAN TENA NASEMA FURAHINI OLIVER ISRAEL KUZINDUA NAHITAJI KITU GANI? TAREHE ... ILIVYIOKUWA KATIKA UZINDUZI WA REDIO USHINDI MWANADAMU HAWEZI KUWA MPELELEZI WA MUNGU. Nchi ikastarehe miaka kumi (2 Nyakati 14 -16) DHAMBI YA KUZINI NI MAKOSA MAKUBWA. JOSEPHAT MWINGIRA: JINSI NILIVYOTOKEWA NA BWANA YE... NAFSI ILIYONASWA NA UZINZI ONDOA JIWE,ILI BWANA ATENDE. NJIA MBILI ZA KUPITA MWANADAMU AMBAPO KILA MWANADA... BALOZI WA PAPA: HATA KAMA KANISA LITATESWA LAKINI ... DALILI ZA NDOA INAYOKUFA MFUNGUENI AENDE ZAKE. UNAJUA MAANA YA KUPASULIWA NAZI KWENYE NDOTO? KARI... ASKOFU MKUU WA TAG AWAONGOZA WACHUNGAJI KUCHANGIA ... HAIBA ZA WANANDOA! SIKU 7 ZA MITUME 7 KATIKA MADHABAHU MOJA RGC MIRAC... USIDHARAU NDOTO ULIYI IOTA Buriani Sista Anna Peterson. MILCA KAKETE KUTENGENEZA VIDEO YAKE MPYA YA KUABUD... NURU YA UZIMA. TOKENI MKATENGWE NAO. MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 75 YA T... ZAKA YA FUNGU la KUMI - II WALIONIFUNGA WALIISHIA KUPIGWA MWIMBAJI MWINGINE WA MUZIKI WA INJILI NCHINI AFARI... MASHIMO YA KIROHO/KICHAWI UCHUMBA MTAMU LAKINI NDOA CHUNGU. Maadhimisho ya Miaka 75 ya kanisa la TAG yafana ji... KWANINI TUHAHITAJI TUOMBE? NURU YA UZIMA. *Sehemu ya mwisho* Wajibu wa Wazazi kwa watoto wao. JINA LA YESU NDOTO NA MAANA ZAKE: JE UNAJUA MAANA YA KUSUMBULIW... NI HUDUMA NGUMU SANA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU SANA!... JE UNAJUA JINA LAKO LIMEBEBA NINI? MCHUNGAJI AAMBIWA NA MUNGU KUHAMIA MAREKANI, ASEMA... NILAZIMA UTAPIKWE MAASKOFU WAIKOSOA SERIKALI YA ERITREA KANISA LA ANGLIKANA LARIDHIA WANAWAKE KUWA MAASKOF... NEEMA GOSPEL KWAYA NDANI YA MAJONZI MAZITO YAKUOND... MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 YATANGAZWA EPHRAIM SEKELETI KUMBEBA ROSE MUHANDO.- AGOSTI 3 CHRISTINA SHUSHO AINGIA TENA KWENYE TUZO ZA AFRICA... MUNGU ANASEMA: BALI MTU HUYU NDIYE NITAKAYE MWANGA... HUKUMU KWA WENYE MIZAHA. NAFASI ZA MASOMA KATIKA CHUO CHA BIBLIA CHA HOPE F... INA MAANA GANI KUMWONA MSICHANA AMEBEBA MDOLI KWEN... NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA UWEZE KUAMKA KUOMBA SAA 9 ALI... SIFA 7 ZA KIJANA AMBAYE YESU KRISTO NI BWANA NA M... SIKU 10 ZA UREJESHO MOSHI MJINI NA MTUME PETER NYA... Albamu ya NI WEWE UMENIITA ya Edward Kisusu inapa... KILA TATIZO LINA CHANZO CHAKE Nitashindaje Dhambi Inayonisumbua? ILIKUWA NI SIKU NJEMA KWA JANETH KIFARU NA YOTHAM.... KWANI TUNATAKIWA KULITAFAKARI NENO LA MUNGU USIKU ... UKARIBU NA MUNGU v/s MAFANIKIO MAKOSA WANAYOFANYA VIJANA KATIKA KUTAFUTA MWENZI W... VIKAO VYA UHARIBIFU SABABU 11 ZA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. VIFAA VYA UCHAWI VYACHOMA MOTO KATIKA MKUTANO WA I... USHAURI KWA VIJANA WANAOTAKA KUOA. ADUI WA NDOA YAKO MPANGO WA WOKOVU NI NINI? SIFA SABA ZA IBADA NJEMA. MBINU AMBAZO SHETANI HUZITUMIA KUHARIBU KUWASILIANA NA MTU KWA SIMU KWENYE NDOTO INA MAANA... ZACHARIA KENYATTA KUIZINDUA ''SASA NI ZAMU YANGU ... MAOMBI YAMUONDOA KWENYE KAZI YA KUHESABU MISUKULE VIUNGO VYA BINADAMU VYAOKOTWA KWENYE MIFUKO JIJINI... MWIMBAJI MKONGWE WA NEW LIFE BAND YA ARUSHA AFARIK... MASANJA MKANDAMIZAJI ANAKARIBIA KUFUNGA NDOA. JE WAJUWA KUWA UKOO WAKO UNAWEZA KUWA UKOO TATA? FAHAMU KUHUSU IBADA YA SANAMU. IMETUPASA KUTANGATANGA ILI KUTAFUTA MALISHO BORA Y... TAMASHA LA MATUMAINI, NKONE, MWAIPAJA KUACHA HISTO... shetani NDIYO CHANZO CHA MABAYA YOTE YANAYOMKUTA M... UMEBAKIZA KUMPOKEA YESU KRISTO TU. USEJA WA MAPADRI SASA KATIKA MJADALA, WANAWAKE NAO... Mtazamo wa Kikristo kuhusu Unajimu, Ndumba, Utabir... OMBA KWA AJILI YA ISRAELI:Ndege zasitisha safari k... UKIOTA UMEKAA JUU YA KITI CHA CHUMA INA MAANA GANI... DAKTARI HUTIBU,YESU HUPONYA. SIRI ZOTE ZA WANADAMU ZITALETWA HUKUMUNI. KURUDI KWENYE KUSUDI LA MUNGU LA MILELE JINSI KWELI YA MUNGU INAVYOMBADILISHA MTU. Mwanamke Aliyebadili dini Sudan akutana na Papa MAOMBI YANAHITAJIKA KWA AJILI YA MKE WA JOSEPH NY... MTU ANAYEKUPENDA ATAKUJALI KWA KADIRI YA UWEZO WAK... IMANI YA KWELI HUONGOZA KWENYE FURAHA YA MILELE HISTORIA YA UPENDO NKONE HII HPA; ONA MAGUMU ALIYO... RAIS KENYATTA NA RUTO WA KENYA WAHUDHURIA IBADA NA... PICHA NA TAARIFA KAMILI ZA AJALI ALIYOPATA BAHATI ... Mh.January Makamba akutana na wanamuziki wa injili... MAMBO MENGINE YATAONDOKA KWA KUAMURU TU. MKE WA JOSEPH NYUKI APATA NAFUU. UNAJUA MAANA YA KUCHEZEA MOTO KWENYE NDOTO? : KARI... UTAMLAUMU NANI? KANISA LA MORAVIAN KWENYE HATIHATI YA KUFUNGIWA NEEMA JUU YA NEEMA. ONDOA MAJITU MAISHANI MWAKO. MWINJILISTI JOHN CHINYULI AFUNGA NDOA. AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJ... YESU ALIFANYIKA LAANA KWA AJILI YETU KATIKA MLIMA WA BWANA ITAPATIKANA Askofu: Chikawe hana ubavu wa kulifunga Kanisa Mor... CHAKULA CHA KICHAWI MATAPELI WAHUJUMU ALBAMU YA ROSE MUHANDO, WANANCHI... NINI MAANA YA KUANGALIA NDANI YA SHIMO KATIKA NDOT... TOFAUTI YA NEEMA NA NEEMA JE !!! UMEJIANDAAJE KUKUTANA NA MUNGU ??? KUTOKA KATIKA NCHI YA UTUMWA. YESU ANAKUITA LEO. ► August (104) ► September (60) ► October (70) ► November (72) ► December (78) ► 2015 (373) Powered By Blogger My Blog List RUMAFRICA DR. FADHILI EMILY NDANI YA NCHI YA SWEDENI KWA MANUNUZI YA VIFAA VIPYA VYA TV YAKE - Watanzania mapinduzi yamepamba moto kupindua mazoea tuliyozoea kuona katika TV zetu. Muonekano mpya, watangazaji waliosomea utangazaji kwa kiwango cha juu,... 1 day ago mjap inc Muimbaji Bahati Bukuku ajitokeza Rasmi Kumuunga mkono Mh.Edward Lowassa mbio za Urais 2015. - Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Bahati Bukuku amejitokeza rasmi mbele ya uongozi wa chama cha muziki wa injili nchini Tanzania na kutoa taarifa yake... 1 day ago Grana Gospel News TULIPOTEMBELEA KANISA LA MENNONITE JIMBO LA NYEGEZI JANA - Jana jumapili Grana Gospel News AFRICA ilibahatika kutembelea kanisa la Mennonite jimbo la Nyegezi jijini Mwanza.Tulibarikiwa sana na ibada yao nzuri kabis... 5 days ago Mwl. Daudi Lubeleje NINI MAANA YA UPENDO - Shalom watu wa Mungu; Leo napenda tukajifunze maana halisi ya neno upendo. Sisi vijana tunatumia sana neno upendo. Love…. I love you! Biblia katika kitabu ... 1 week ago INJILI YA KRISTO ZANZIBAR MPE BWANA KIPAUMBELE KATIKA KUMTUMIKIA. - * BWANA YESU ASIFIWE.* Karibu tujifunze somo zuri liitwalo *MPE BWANA KIPAUMBELE KATIKA KUMTUMIKIA.* Si... 2 weeks ago APOSTLEDARMACY.COM PENIEL MEDICAL MISSION. - *Welcome to ;* *Peniel Medical Missions * *Advancing Quality health Care in developing countries* [image: Peniel Medical Missions] *Background* We are ... 1 month ago Peter M Mabula (Mafundisho) NIMEAMINI NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI - Ndugu zangu nawasalimu katika jina la YESU KRISTO. Napenda kuwatia moyo ndugu zangu ya kwamba MUNGU anatenda miujiza kwa njia yeyote na hazuiliwi na choch... 4 months ago Injili Forever KAKOBE: UCHAGUZI USIFANYIKE JUMAPILI - 1. 2. Juzi Jumapili 11.1.2015, maelfu ya waumini wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) linaloongozwa na Askofu Mkuu Zacha... 4 months ago somabiblia - (For this page IN ENGLISH: CLICK HERE) KARIBU SOMABIBLIA. HAPA UNAWEZ... 1 year ago Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE