GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

JINSI GANI TUNAWEZA KUSHINDA MAJARIBU YA UJANANI!!

Unapojaribiwa kumbia upande mwingine. Imeandikwa, 2Timotheo 2:22 "Lakini zikimbie tamaa za ujanani ukafuate haki na imani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi."Omba upate nguvu za kushinda majaribu. imeandikwa, Marko 14:38 "Kesheni mwombe msije mkaingia majaribuni rorho I radhi bali mwili ni dhaifu."Tumia neno la Mungu kuzuia majaribu. Imeandikwa Mathayo 4:1, 3, 4, "Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani iliajaribiwe na ibilisi majaribu akamjia akamwambia ukiwa ndiwe mwana wa Mungu amuru kwamab mawe haya yawe miketa, naye akamjibu akasema imeandikwa matu hataishi kwa mkate tu ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu."Mungu hataruhusi tujaribiwe zaidi ya uwezo wetu. Imeandikwa, 1Wakorintho 10:13 "Jaribu halikuwapata ninyi isipokuwa lililo la kawaida ya wanadamu ila Mungu ni mwaminifu ambaye hatawacha mjaribiwe kupita mwezavyo lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea ilimweze kustahimili."Wale ambao hawata kubali kuaguka katikamajaribu wata barikiwa. Imeandikwa, Yakobo 1:12 "Heri mtu astahimiliye majaribu kwa sababu akisha kukubaliwa ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowahidia wampendao."

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

SOMO: MWONGOZO WA KIBIBLIA WA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO

MADHABAHU. ZA KICHAWI ..KISHETANI~NA ZA KIPEPO ZA VUNJWA KWA DAMU YA YESU