GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

Rais Donald Trump sio wa mchezo mchezo kabsa 2017

Rais wa Marekani Donald Trump amewahamisha Wakenya siku chache baada ya kuapishwa
-Trump alisema kuwa atawahamisha Wakenya 30,000 wanaoishi Marekani bila kibali
-Raia wa Somali walifurushwa pamoja na Wakenya ambao waliwasili uwaja wa ndege wa JKIA, Januari 25
Huenda Wakenya zaidi ya 30,000 wanaoishi Marekani bila kibali wakafurushwa nchini humo baada ya Rais Trump kutwaa hatamu za uongozi.
come up with own title
Rais wa Marekani, Donald Trump.
Hii imekuwa bayana baada ya serikali ya Marekani kuwahamisha Wakenya wawili nchini humo pamoja na Wasomali 95.
Duru zinaarifu wawili hao waliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mnamo Jumatano, Januari 25 saa 11 mchana.
come up with own title
Wanawake hao wawili Wakenya pamoja na Wasomali 95 walikuwa wameandamana na maafisa wa usalama wa Marekani.
Pata HAPA habari za TUKO.co.ke punde tu zinapochapishwa!
Maafisa hao walisema uhamisho huo ulitokana na sera za Trump za kuwafurusha wahamiaji haramu.

Rais Trump amesisitiza kuwa uongozi wake utawafukuza wahamiaji haramu.
Wakati wa kampeni za urais, Trump aliweka bayana kuwa atawafukuza wahamiaji haramu milioni 11.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako