GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA ,,, kwa kuchumbiliwa kwake sis tumekuwa huru mbali na DHAMBI

KATIKA mwezi huu wa maskitiko na mahangaiko  ambayo bwana yesu aliyapata akiwa mlimani kwa kuambiwa nha kuongozwa na roho nyikani ili akajalibiwe kwa sababu ya mimi na wewe  tulie kuwa tumepoteza wokovu pale bustani ya eden kwa hiyo ni lazima tuungane na yesu  katika mateso haya ambayo anayapitia au aliyo yapitia kwa takilibani miaka  2000 iliyo pita.  ukisoma neno la mungu kutoka mathayo 4;1-11 utaona  roho wa mungu anamchukua yesu mpaka jangwani ili ajalibiwe  na majaribu yake yalikuwa kama yafuatayo;;;;;;;;;;
   1) ALIJALIBIWA KUPITIA NJAAA ALIO KUWA NAYO
   2) ALIJALIBIWA KUHUSU UTAJILI AU ALIAMBIWA ATAPEWA KILA KITU IKIWA ATAMSUJUDIA  YEYE SHETANI
 ----- kutokana na majaribu haya yesu aliyashinda ili mimi nawewe tuwe hulu katika maisha haya ya kiroho na kimwili
  katika maaajilio haya unatakiwa kuwa nha mambo mazri ambayo yatampendeza mungu  ,, kama kutenda wema ,kuwa mtu wa ibada kila siku na kuwa mtu wa kuwasaidia maskini na wa hitaji . UKUI9FANYA HIVYO UTABALIKIWAQ SANA UINGIAPO NA UTOKAPO

Comments

Wahooooo! Morning to madam how are u ? And good day

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako