GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

YESU ALISULUBIWA KWELI???

 YESU   ni mwana wa Mungu ambae alikuja duniani kutukomboa mimi na wewe   ukisoma yhn 3;16   nayo inasema   kwa maaana jinsi hiii mungu aliupenda ulimwengu hata akamutoa mwanawake wa pekee kila amwaminie asipotee bali awe  na uzima wa milele,,  kutokana na neno hili biblia inaonesha kuwa yesu alitumwa na mungu  kuja duniani ili atukomboe mimi na wewe kutokana na shida na mateso tulio nayo kutokana na dhambi za watu wawili ambao ni adamu na hawa katika bustani ya edeni  walipo mpa nafas shetani ya kuongea ... kutokana nahilo  dunia yote ili  laaaniwa na kupewa adhabu kali na mungu  na maovu na dhambi vikazidi sana katika usoma wa  nchi na mungu akakasilika ndipo neema ya mungu inakuja tena kupitia yesu kirsto  kuja kfa kwa ajili ya maovu na dhambi zetu  NI KWELI KABISA YESU ALISULUBIWA PALE  MSALABANI  NA PIA ALIUMIZWA KWA AJILI YESU,,, ALIJELUHIWA KWA  AJILI YA MAKOSA AMBAYO SIYO YAKE KWA MAAANA HIYO SAIV TUMEPATA NEEMA MPYA ,, MUNGU AKUBARIK KWA SOMA MANENO YA MUNGU




 Image result for MATESO YA YESU

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako