Posts

Showing posts from July, 2017

GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

Jesus hear the broken heart

Image
Life is a never-ending series of choices. Can we know whether we are making the right decisions? Should we consult our horoscope? Maybe we should call the psychic hot-line? Do we go with what the experts are saying or rely on our gut-feeling? Should we look to the stars -- or should we seek the Maker of the stars? I recently received an e-mail in response to my article, The Harness of the Holy Spirit in which a CBN.com reader makes these thought-provoking statements: "Your article is typical of many books I have read. Everyone talks about doing what the Holy Spirit says, but you do not state how you 'know' it is the voice of GOD.

udsm application form in 2017/2018

Admission The University of Dar es salaam offers various academic programmes leading to the award of certificates, diplomas, and degrees. A total of 4 Certificates, 3 Diplomas and 65 Undergraduate Degree Programmes are offered at various academic units of the University of Dar es Salaam these include Evening Study programmes designed to offer opportunities to mainly the working people although any interested person who have requisite entry qualifications can apply. One undergraduate distance learning study programme (Bachelor of Business Administration) has been designed to benefit those who merit University education but for some reasons are unable to attend regular classes at the University. The number of students admitted at the University of Dar es Salaam has been increasing steadily, from 14 in 1961 to 21,502 (13,641 male and 7,861 female) undergraduate degree and non-degree in the 2011/2012 academic year. Female students constitute 36.5% of all undergraduate students...

Tcu watangaza utaratibu wa kudahili wanafunzi walio maliza kidato cha sita 207&2018

http://www.tcu.go.tz/images/documents/Change_of_Admission.pdf

SOMO: MWONGOZO WA KIBIBLIA WA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO

*2⃣ SOMO: MWONGOZO WA KIBIBLIA WA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO * *ENEO: SINGIDA* *SIKU: 2* *MWL. C. MWAKASEGE* *TAR: 5 JUNE 2017* UTANGULIZI MAOMBI. Mungu uliye hai sifa na heshima ni za kwako kwasiku ya leo sawasawa na jinsi ulivyo kusudia Tuhudumie kwa jinsi inavyo kupendeza . Asante kwa kila mmoja ambaye umemfungua masikio ya nje na ya ndani ili apate kusikiliza neno lako siku ya leo. Nguvu zako na uweza wako uwe pamoja nasi eeh bwana kutujalia kupata kile ambacho umetujalia kupata  katika jina la Yesu Kristo  na watu wote tuseme ameeen!!!. Bwana YESU Asifiwe!!!! Somo letu ikiwa Leo ni siku ya pili lina kichwa kinacho sema MUONGOZO WA KIBIBLIA WA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO leo ni siku ya pili  maana yake tulianza jana kama siku ya kwanza na jana tulizungumzia juu ya gharama ambazo mtu anaweza kupata kwa kutokujua namna ya kutafsiri na kuombea ndoto kibiblia. Wakati tunangaalia ile ndoto ya farao ambayo ilikuwa inamwaarifu juu ya njaa iliyokuwa inakuja kati...

Form six 2017 matokeo efath high school

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2017 EXAMINATION RESULTS S4197 EFATHA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0; DIV-II = 5; DIV-III = 9; DIV-IV = 4; DIV-0 = 3 CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS S4197/0501 F 17 III G/STUDIES - 'F' GEOGR - 'D' CHEMISTRY - 'F' BIOLOGY - 'S' BAM - 'F' S4197/0502 F 13 III G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' CHEMISTRY - 'S' BIOLOGY - 'D' BAM - 'F' S4197/0503 F 20 0 G/STUDIES - 'F' GEOGR - 'S' CHEMISTRY - 'F' BIOLOGY - 'F' BAM - 'F' S4197/0504 M 19 IV G/STUDIES - 'F' GEOGR - 'E' CHEMISTRY - 'F' BIOLOGY - 'F' BAM - 'F' S4197/0505 M 12 II G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' CHEMISTRY - 'D' BIOLOGY - 'E' BAM - 'F' S4197/0506 M 14 III G/STUDIES - 'F' GEOGR - 'D' CHEMISTRY - 'E' BIOLOGY - 'E' BAM - 'F' S4197/0508 M 14 III G/STUDIES...

Matokeo ya lugalo high school form six

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2017 EXAMINATION RESULTS S0325 LUGALO SECONDARY SCHOOL DIV-I = 2; DIV-II = 65; DIV-III = 88; DIV-IV = 12; DIV-0 = 0 CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS S0325/0501 F 11 II G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' GEOGR - 'D' BAM - 'S' ECONOMICS - 'C' S0325/0502 F 15 III G/STUDIES - 'S' GEOGR - 'D' CHEMISTRY - 'F' BIOLOGY - 'D' BAM - 'F' S0325/0503 F 12 II G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' GEOGR - 'D' ENGLISH - 'D' S0325/0504 F 14 III G/STUDIES - 'F' GEOGR - 'E' CHEMISTRY - 'E' BIOLOGY - 'D' BAM - 'F' S0325/0505 F 13 III G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' KISWAHILI - 'D' ENGLISH - 'E' S0325/0506 F 11 II G/STUDIES - 'E' PHYSICS - 'C' CHEMISTRY - 'D' BIOLOGY - 'D' BAM - 'D' S0325/0507 F 11 II G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D...

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017&18

Www.necta.go.tz utayaona hapa kwenye kila shule  na ufaulu umeongezek kwa kiwango chajuu

SEMINA YA WANAWAKE NA MWALIM MWAKASEGE MBEZI BEACH IPO LIVE KUANZIA SAA TATU

SEMINA YA WANAWAKE LEO TAR 1, JULY 2017 NA MWL MWAKASEGE  KKKT MBEZI BEACH. IKO LIVE KWA NJIA ZIFUATAZO. KUANZIA SAA MBILI HADI SAA KUMI JIONI YOUTUBE: https://youtu.be/kGTGwUaoerk Ustream:  http://www.ustream.tv/channel/mwakasegemanaministry Wajulishe na wengine

Piga shetani mpaka akuogope na akukimbie kwa juna la Yesu

NILIVYOMTIMUA SHETANI "MKUKU-MKUKU", SIKU WALIYOZALIWA MAPACHA 202. (STRATEGIES ZA KUMBANANISHA MUNGU PT.4) Nadhani mnajua kwamba Mungu ametujalia (mimi na mke wangu), watoto mapacha wa kike na wa kiume. Mapacha 101 (Albertina na Alberta) na Mapacha 202. (Nathan na Nathanael), waliozaliwa, Mei mwaka huu. Kuzaliwa kwa mapacha 202, hakukuwa rahisi maana Shetani alijihudhurisha kwa namna iliyonipa uzoefu mpya kabisa. Ukisikia zile habari za Yesu Kristo kupandishwa nyikani na Ibilisi ili ajaribiwe unaweza usielewe ama unaweza kudhani ni stori ya kudhahanika, may be mpaka siku utakapokutana na Ibilisi uso kwa uso. Kama si Bwana aliekuwa upande wangu sasa hivi ningekuwa naongelea kuanua matanga ya msiba wa mke wangu. Wale tuliokesha pamoja tukipambana katika maombi siku ile, Eliah Geofrey Kamwela, brother Kotasi Mbwillo, (kuwataja wachache) ni mashahidi wa ushuhuda huu ninaokuletea leo. NAOMBA UELEWE HILI KWANZA Tangu nilipogundua kuwa kumshinda Shetani ni simpo sana kuliko h...