GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

YESU ANAWEZA KUBADILISHA HISTORIA YA MAISHA YAKO

Ukikutana na Mungu katika maisha yako hauta baki kama ulivyo kuwa mwanzo ina wenzekana hapo mwa nzo ulikuwa hauna matumaini ya kuishi
hauna inamain ya kweli maishain mwako
ulikuwa hauna matumaini ya kufikisha miaaka ulio nayo hivi leo lakin ulipo kutana na Mungu mambo yamebadilika kwa kiwango kikubwa sana hebu tuangalie mifano ya watu walio kutana na mungu na maishani mwao  namisha yao yaka badilika kabisa

  1. alikuwepo zakayo ambaye alikuwa ana fanya kazi ya kukusanya ushulu na alikuwa anasifa ya uzulumaji au kuwatoza watu ushulu mkubwa sana  likin alipokutana  na YESU maishayake yakabalidilika kabisa  
  1. alikuwepo mama aliekuwa anasumbuliwa ma ungonjwa ya pata miaka 38 na alikuwepo kwenye bilika akisubili maji yatibuliwe apate kuingia lakina alikosa mtu wa kumitia birikani maji yakisha tibuliwa na malaika  lakin walipo kutana na yesu maisha yaker yalibadilika kabisa  nha histolia yake ikachasnge palepale nawewe ukikutna na yesu maisha yako yatabadilika sana na wewe uatashangaa sana
  2. bathemayo alikuwa kipofu haoni kwa miaka mingi sana na aliipo akutana na yesu maisha  yake yalibadilika na historia yake ikabadilika kwa sekunde moja tuuu 
  3. Razalo alikuwa naumwa sana pia alikuwa ni rafiki ake yesu lakin mauti yalimkuta alipo kuja yesu maisha yake yalibadilika na baada ya kulia watu wakaaza kucheka kwa kicheko cha ushindi kabsa maaana alikuwa amekufa lakni now yupo hai 
  4. nawe inawezekana unavitu maishani mwako vimekufa na haluna msaada wowote ambao unaonesha kuywa vitu vyako0 vitafufuka lanki ukikutana na yesu utapata uponyaji na vitu vyako vita fufuka kwa jina la yesu 
KUTANA NA YESU  UBADILISHE HISTORIA YAKO YA MAISHA YAKO 
Image result for THE LIGHT OF GOD

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako