Posts

GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

Napokea - Jessica Honore ni wimbo ambao utkutoa kwenye huzuni yako kubwa maishani mwako

MAFUNDISHO YA MWALIM MWAKASEGE AKIFUNDISHA KWENYE SEMINA

MAFUNDISHO YA SEMINA YA MWALIMU MWAKASEGE     AKIFUNDISHA KUHUSU FUNGUO ZA MBINGUNI. “Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni”   (Mathayo 16:18 – 19). Maneno haya ya Yesu Kristo yanatuonyesha kuwa, nia yake ni kulijenga kanisa lililo na mamlaka kuliko shetani. Kanisa ni mwili wake (Waefeso 1:22 – 23). Wakristo waliookolewa kwa damu ya Yesu Kristo ni viungo vya mwili wa Kristo – ni viungo vya kanisa (1 Wakorintho 12:12, 13, 27). Kwa hiyo Yesu Kristo anaposema atalijenga kanisa lake wala milango ya kuzimu haitalishinda – ana maana ya kuwa, kila mkristo aliye wake anajengwa kiroho awe na mamlaka ya kumshinda shetani.kwenye kila majaribu  unayo pitia hata kama ni magumu kiasi gani. Ni budi tufahamu ya kuwa, Yesu Kristo...

MAFUNDISHO YA MWALIM MWAKASEGE

Jesus is king of kings

Let the glorious conceptions of God possess your mind. Let your life be knit by hidden links to the life of Jesus. He who commanded the light to shine out of darkness is willing to shine in your heart, to give the light of the knowledge of the glory of God in the face of Jesus Christ. The Holy Spirit will take the things of God and show them unto you, conveying them as a living power into the obedient heart. Christ will lead you to the threshold of the Infinite. You may behold the glory beyond the veil, and reveal to men the sufficiency of Him who ever liveth to make intercession for us.{COL 149.3}