Posts

Showing posts from June, 2017

GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

Napokea - Jessica Honore ni wimbo ambao utkutoa kwenye huzuni yako kubwa maishani mwako

Image

Napokea - Jessica Honore ni wimbo ambao utkutoa kwenye huzuni yako kubwa maishani mwako

Image

MAFUNDISHO YA MWALIM MWAKASEGE AKIFUNDISHA KWENYE SEMINA

MAFUNDISHO YA SEMINA YA MWALIMU MWAKASEGE     AKIFUNDISHA KUHUSU FUNGUO ZA MBINGUNI. “Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni”   (Mathayo 16:18 – 19). Maneno haya ya Yesu Kristo yanatuonyesha kuwa, nia yake ni kulijenga kanisa lililo na mamlaka kuliko shetani. Kanisa ni mwili wake (Waefeso 1:22 – 23). Wakristo waliookolewa kwa damu ya Yesu Kristo ni viungo vya mwili wa Kristo – ni viungo vya kanisa (1 Wakorintho 12:12, 13, 27). Kwa hiyo Yesu Kristo anaposema atalijenga kanisa lake wala milango ya kuzimu haitalishinda – ana maana ya kuwa, kila mkristo aliye wake anajengwa kiroho awe na mamlaka ya kumshinda shetani.kwenye kila majaribu  unayo pitia hata kama ni magumu kiasi gani. Ni budi tufahamu ya kuwa, Yesu Kristo...

MAFUNDISHO YA MWALIM MWAKASEGE

Jesus is king of kings

Let the glorious conceptions of God possess your mind. Let your life be knit by hidden links to the life of Jesus. He who commanded the light to shine out of darkness is willing to shine in your heart, to give the light of the knowledge of the glory of God in the face of Jesus Christ. The Holy Spirit will take the things of God and show them unto you, conveying them as a living power into the obedient heart. Christ will lead you to the threshold of the Infinite. You may behold the glory beyond the veil, and reveal to men the sufficiency of Him who ever liveth to make intercession for us.{COL 149.3}

Jua kwanini shetani anapenda kuwatumia viongoz wako kukuvuluga?

Tulikua na kichwa kinachosema NAMNA YA KUPAMBANA NA NGUVU ZA GIZA na tuliishia kwenye kipengele cha njia anazozitumia shetan kupandikiza ufalme wake Duniani.. Tuliangalia kwa habari ya ✍makanisa ✍fedha ✍muziki Leo tutaangalia kwa habari ya ✍Viongozi shetani wakati mwingine anapotaka kupitisha jambo la kishetan huwatumia watu wenye madaraka juu yetu.. Watu ambao anajua wana madaraka makubwa sana kwetu.. Na kupitia kauli zao hata kama hazimpendezi Mungu kama hujasimama Na Mungu unaweza kuzikubali.. Angalia kipindi Musa anazaliwa . farao alitoa tamko la watoto wote wa kiebrania  kuuliwa..na musa alikua ni muebrania.. Shetan alishajua kile Musa amekuja kukifanya na ndiyo maana aliona njia kubwa ya kuthitisha ukombozi wa waebrania ni kutumia kinywa cha mfalme wa misri na akatoa tamko ambalo lilikua linamfunga Musa moja kwa moja.. Angalia Yesu alipozaliwa..herode anatoa tamko la watoto wa kiume kuuuliwa .. Shetan alijua kuwa Yesu amezaliwa kuja kufanya nini...

How satan stops our prayers - Combat in the Heavenly Realms

Image

How To Hear The Voice of God Almighty - Jesus Christ - Listen To The Hol...

Image

Fresh anointing from GOD: How to Pray in the Spirit

Fresh anointing from GOD: How to Pray in the Spirit

Fresh anointing from GOD: How to Pray in the Spirit

Fresh anointing from GOD: How to Pray in the Spirit

How to Pray in the Spirit

Image

MUNGU WETU HALALI HATA SIKU MOJA USIE LALA

Image

HOW TO KNOW THE VOICE OF HOLY SPIRIT IN YOU ARE LIFE

THE VOICE OF HOLY SPIRIT IS VERY IMPORTANT IN YOU ARE LIFE .. BUT WHAT THE EFFECT WHEN YOU  DONT HEAR THE VOICE OF HOLY SPIRIT?  JUST SEE DOWN loss of hope in you are m life and happy poor spiritually power and you can not resist the power of devil you will fail in you are battle or spiritually battle   proceed to flow me to next period  GOD BLESS YOU IN JESUS NAME

HOW TO LISTEN TO THE HOLY SPIRIT - Pastor Chris

Image
THE PASTOR CHRIS TEACH HOW TO LISTEN HOLY SPIRIT  WILL SAVE  JUST LISTEN THE MIRACLE OF GOD WILL FOLLOW YOU 

HOW TO LISTEN TO THE HOLY SPIRIT - Pastor Chris

Image

FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA HIZI HAPA

*1⃣SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA  MOROGORO  SEKONDARI* *MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE* *SOMO: FAIDA ZA KUOMBA KWA KUNENA KWA LUGHA* *SIKU YA KWANZA JUNE 14, 2017. Kitabu cha Hongera kwa kuokoka   https://drive.google.com/file/d/0BxdP6mgDJWByVERtampLTGZWRms/view?usp=drivesdk Semina iko  live  kuanzia saa kumi jioni kwa njia zifuatazo. 1.Radio Sauti ya injili (Moshi, Arusha,Tanga,Dsm,Morogoro,Manyara,Kusini mwa Kenya na Pemba) 2.Redio starter  ya Njombe 3.Redio Hhc alive (Mwanza) 4.Redio Baraka Fm (Mbeya) 5.kwa njia ya mtandao tembelea www.mwakasege.org utapata maelezo pale. *MALENGO YA SOMO* 1.Zijue faida za kuomba kwa kunena kwa lugha ili uweze kuomba kwa imani kwa kunena kwa lugha. 2.Ujazwe Roho Mtakatifu ili uweze kunena kwa lugha Matendo ya Mitume 2 :4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. 1 Wakorintho 14 :5 Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini z...

Somo la leo katika ibada

Zaburi 111:1-5 Haleluya; Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na ktk mkutano. Matendo ya BWANA ni Makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo. Kazi yake ni Heshima na Adhama, Na haki yake yakaa milele. Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; BWANA ni mwenye Fadhili na Rehema. Amewapa wamchao chakula ; Atalikumbuka Agano lake milele!!! Asante Mungu wangu kwa kutimiza miaka kadhaa bado ninasafari naomba Kaa nami BWANA adui yangu asifurahi juu yangu !!

Benny Hinn - FIRE Falling on Kids (2)

Image

Benny Hinn - Receive the Healing Power of Jesus

Image

Jesus at the Cross your

do you know the power of super nature power

Image

Worship That Ushers in the Presence of God | Roy Fields on Sid Roth's It...

Image

Worship That Ushers in the Presence of God | Roy Fields on Sid Roth's It...

Image

JESUS IS THE LIGHT OF THE WORLD

Image
THE WORD OF GOD  SAY THAT JESUS IS THE LIGHT OF THE ALL WORLD  BUT HOW  JESUS LIGHT CAN MAKE ME HAPPY

GOD IS GOOD ALL THE TIME

Image

Use Your Tongue And Change Your Life

Image

IJAKUWA UNA PITIA KWENYE MAGUMU MENGI U JE UNAFIKILI MUNGU KAKUACHA?

  MAGUMU YAPO KILA SIKU NA SHIDA ZIPO KILA SIKU  NA JE UNAFIKILIA NINI JUU YA MUNGU  WAKO UNAE MWAMBUDU NA JE KWNN UNA MWAMBUDU MUNGU , NA JE UNA MWABUDU MUNGU ILI UPATE NN MAISHANI MWAKO  NA  NA JE U8KIKOSA KUKIPATA HICHO AMBACHO MUNGU ULITEGEMEA AKUPE UTAFANYA NINI NA JE MUNGU ATAKUWA HAWEZI KABISA NA  UTAMFIKILIAJE MUNGU? JE HAKUPENDI AU8 UTAFIKILIA NINI  ,, LAKIN MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA KUWA MUNGU HASHINDWI NA LOLOTE PIA ANASEMA KUWA LILILOGUMU KWA MWANADAMU KWKE YEYE NI LAHISI SANA  KUMBUKA WAQNA WA IZRALIE WALIPO KUWA WANATOKA  MISRI KWNDA KANAAN WALIKUTANA NASHIDA NYINGI SANA MOJA WAPO IRIKUWA BAHARI YA SHAMU LAKIN HAPO MUNGU ALITAKA KUJA KUWA HAWA WATU HAWANIJUI VIZR KUWA NAWEZA KUFANYA JAMBO AMBALO HATAAMINI MBELE YA MACHO YAO  AMIN AMIN MUNGU YUPO KILA MAENEO NA ANAWAOENDA WOTE NA MAA NDIKA MATAKATIFU YANASEMA KUWA MUNG U HANA UPE N DELEO KABISA AMEN

RECIEVE YOU MIRACLE IN JESUS NAME AND ENJOY YOU ARE MIRACLE

The Gospel is the good news that God is restoring our broken lives through the death and resurrection of Jesus Christ. Whether you are looking for a new church home, or are in a time of personal crisis, we hope this video will speak to you. You Can Experience Miracle Manifestation In Your Life Now….. Here are 7 Steps on how you can personally experience a Miracle Manifestation: 1.         You’ve got to believe in miracles Psalm 86:8,10 in the New Living Translation says:  “Nowhere among the pagan gods is there a god like you, O Lord.  There are no other miracles like yours.  For you are great and perform great miracles.   You alone are God.” You serve a God of Miracles .  A miracle is the supernatural intervention of God in the problems of your life. By believing in the power of God, you have nothing to lose and everything to gain. At some point in your life you will either be forced to live in the potential o...

I BLESS YOU ARE DAY IN JESUS NAME