Posts

Showing posts from May, 2015

GRACE OF GOD

Image
  THE FOLLOW IS THE STEPS ON HOW  GOD TO HELP YOU Step 1: Be awake to God’s Word to yo Truth:  God’s Word has the answers Read:  “All Scripture is breathed out by God and profitable for teaching, for reproof, for correction, and for training in righteousness, that the man of God may be complete, equipped for every good work” (2 Timothy 3:16-17). Challenge:  Knowing Jesus means knowing what He says. The Bible has everything you need to know about life and godliness. Take some time during the day to read your Bible. The book of John is a good place to start. Start slow, read a few verses and think them over. Look for what God has to say to you, promises he makes, or things He says about himself. Step 2: Be aware of God’s Character Truth:  No matter what, God is good! Read:  “Oh, taste and see that the Lord is good! Blessed is the man who takes refuge in him!” (Psalm 34:8). Challenge:  If God is truly good and love, then take ti...

KUFUNGA NA IMANI

Kufunga na Imani Mara nyingi katika Biblia maombi ya watumishi wa Mungu yaliambatana na kufunga; 1. Walifunga wakati wa hatari (Esta 4:3), 2.Wakati wa masikitiko (Nehemia 1:3-4), 3.Wakati wa kutafuta mwongozo wa Mungu (Daniel 9:1-3), 4. Wakati wa kutubu (Yoeli 2:11-12), 5. Wakati wa kumwabudu Mungu (Matendo 13:1-2), 6. Wakati wa kuweka wakfu viongozi (Matendo 14:23), 7 Pia Yesu alifunga kabla hajaanza huduma(Mathayo 4:1-2). Kufunga kunahitajika wakati tunataka kuona mabadiliko makubwa ya kanisa na sisi binafsi, soma Yoeli 2:12-13. Kufunga kunatuwezesha kujinyenyekeza kwa Mungu na kutukumbusha kwamba sisi ni dhaifu tunahitaji msaada wake. Kunatuwezesha kuwa na muda mrefu wa kuomba na kuacha kufikiria chakula na mambo mengine ambayo yanaweza kutufanya tusimaanishe katika kuomba. Kufunga kunatuwezesha kuwa na nidhamu ya kula na kuuzuia mwili katika tamaa, kama ya uzinzi, hasira, uchoyo nk. Ukifunga mara kwa mara ni rahisi kuwa mtoaji (Isaya 58:6-7). Kufunga ni ishara ya nje inayoonyesha ...

NAMNA YA KUFUNGA ILI UJIBIWE

Kufunga na kuomba kunakoongea ni kufunga na kuomba kunakotoa sauti inayopenya hadi kitini pa Mungu na kuleta mabadilko ya kudumu katika ulimwengu wa mwili. Tunaweza kusema Kufunga na kuomba kunakoongea ni atomic bomb katika ulimwengu wa rohok kwa sababu hutoa matokeo makubwa bila kumuumiza anayetumia silaha hiyo. Mifano ya watu waliojihusisha na kufunga na kuomba kunakoongea ni: 1. Yesu Kristo 2. Yohana Mbatizaji 3. Daniel 4. Ester nk. NB: Kufunga na kuomba ni kanuni ya ulimwengu war oho (uwe wa nuru au giza) wa kuhuisha nguvu za kiroho ili kufanya jambo lililokusudiwa. AINA ZA KUFUNGA. Zipo aina tano ( 5 ) za kufunga. 1. TOTAL FAST (FUNGA KAVU). a. Absolute fasting (Funga iliyo sahihi) Hii ni funga ya kutokula chakula kabisa wala kunya maji kwa siku zisizo zidi tatu (3) kama (Esta 4:16). b. Supernatural Fasting (Funga ya Kiungu).Funga ya kutokula chakula kabisa wala kunywa maji kwa siku zaidi ya tatu (3) kama Musa (Kumb.9:9 & 9:18) kwa siku 40. 2. PARTIAL FASTING (FUNGA NUSU) ...

fasting prayer

REASONS TO FAST AND PRAY I do, however, encourage every believer to fast and pray for two very important reasons: 1. The Scriptures Teach Us to Fast and Pray The Bible has a great deal to say about both fasting and praying, including commands to fast and pray. The Bible also gives us examples of people who fasted and prayed, using different types of fasts for different reasons, all of which are very positive results. Jesus fasted and prayed. Jesus' disciples fasted and prayed after the Resurrection. Many of the Old Testament heroes and heroines of the faith fasted and prayed. The followers of John the Baptist fasted and prayed.Many people in the early church fasted and prayed. What the Scriptures have taught us directly and by the examples of the saints is surely something we are to do. 2. Fasting and Prayer Put You into the Best Possible Position for a Breakthrough That breakthrough might be in the realm of the spirit. It may be in the realm of your emotions or personal habit...

ondoa jiwe iliujibiwe maombi yako

Na Mtumishi Gasper Madumla " Basi Yesu,https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjT-4n_zZFTTtiPQSVjO0uxp79SXe7CEqLC1rk-gOWbT0epewLdol0htwyu3pOoNWUZL8P73t42sVhUudWbD9Ed2TyDD78j0nK1qRCAoQUZO_5CfEYR012lUO3gQeufHSg3vMRFOraPNBp/s1600/430548_10151197131430258_1650545852_n.jpg hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? " Yohana 11:38-40 Bwana Yesu asifiwe sana... Haleluya.... Ninayo furaha siku ya leo kukwambia pasword yako ya kufanikiwa kiroho na kimwili pia. Shida yako ni ugunduzi wa siri ya KUONDOA JIWE ILI BWANA ATENDE MAISHANI MWAKO. Jiwe lilopo kwako ndilo linakupelekea kusota kwingi. Andiko hilo hapo juu;tunamuona Bwana Yesu akifika kaburini mahali alipolazwa Lazaro. Bwana Yesu hali akiugu...

power of prayer

Power Of Prayer - How powerful is it? The power of prayer should not be underestimated. James 5:16-18 declares, "…The prayer of a righteous man is powerful and effective. Elijah was a man just like us. He prayed earnestly that it would not rain, and it did not rain on the land for three and a half years. Again he prayed, and the heavens gave rain, and the earth produced its crops." God most definitely listens to prayers, answers prayers, and moves in response to prayers. Jesus taught, "…I tell you the truth, if you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mountain, 'Move from here to there' and it will move. Nothing will be impossible for you" (Matthew 17:20). 2 Corinthians 10:4-5 tells us, "The weapons we fight with are not the weapons of the world. On the contrary, they have divine power to demolish strongholds. We demolish arguments and every pretension that sets itself up against the knowledge of God, and we take captive every t...

YAJUE MASHETANI ,MAPEPO,MZIMU ILI UWAPIGE VIZURI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

Sehemu mbili zilizotangulia zaeleza sababu zilizotufanya tusiamini kuwa Ibilisi au shetani ni kiumbe binafsi au mtu mkubwa aliye mbaya sana. Kama tunakubali ya kwamba hayupo kiumbe huyu, basi ni kweli kuwa mapepo, ambao wamedhaniwa kuwa ni watumishi wa Ibilisi, vile vile hawapo. Watu wengi wanafikiri ya kuwa Mungu anatupatia mambo mema ya maisha, naye ibilisi na mapepo yake watupatia mambomabaya, na wanatunyang’anya mambo mema atupayo Mungu.Ni wazi Biblia yafundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha nguvu zote (tazama somo la 6.1), na kuwa Yeye ndiye mhusika wa yote mawili mambo mema na mambo mabaya katika maisha yetu: -"Mimi naumba nuru, na kuhuluku giza. nafanya amani, na kuhuluku ubaya: 'Mimi Bwana ndiye nayafanya yote haya’(Isa. 45:7);"Msiba umeshuka toka kwa Bwana, umefika mpaka lango la Yerusalemu"Mika.1:12;"Je ! tarumbeta itapigwa mjini, watu wasiogope ? mji utapatikana na hali mbaya, asiyoieleta Bwana?"Amosi. 3:6.Basi tunapopata majaribu, tufahamu ya kw...

MAOMBI YA KULIA .,KUOMBOLEZA .NA KUFUNGA KWA MZIGO

MAOMBI YA KUFUNGA, KULIA, NA KUOMBOLEZA. Isaya 30:49-21Ni maombi yeye mzigo moyoni mwa mtu, ni maombi yenye utungu. (Yoe.16:20-24)Kulia mbele za Mungu – Lu. 23:38, Ebr. 5:7-10; Ebr. 5:7-10, Yer.31:9KUFUNGA - Yoel. 2:12-A. MAANA KWA MTIZAMO WA AGANO LA KALE KUHUSU KUFUNGA• Kwa mtizamo wa agano la kale ni kujinyima chakula na vinywaji ili kumwomba Mungu au kufanya kitu kwa ajili yake.• Ilikuwa ni ahadi yenye kiapo, kwamba mtu asipofanya hivyo kwa uaminifu, inakuwa kwake ni dhambi, laana,na anastahili kupata mapigo au kifo cha papo kwa papo.• Ilikuwa ni kujitesa nafsi mbele za Mungu – Toba.• Ilikuwa ni kujinyima ili kumfanyia Mungu ibada au kazi.• Ilikuwa ni matokeo ya kushughulikia:-dhambi – ili kuleta upatanisho au tobamagonjwa – tauni, vita na misiba kuhitaji kuisikia sauti ya Mungu kwa ushauri na uongozi, kujiwekawakfu au nadhiri / kujitenga kwa ajili ya Mungu, ilikuwa ni adhabu kwa nafsi ya mtu au roho yake• mtu asiyefunga au aliyefanya kazi siku hiyo,watu walitakiwa kumpiga kwa mawe...

KAMBA ZA KUZIMU NA ZA MASHETANI ZILINIZUNGUKA

SOMO: KAMBA ZA SHETANI - Luka11:21kwa kawaida mtu mwenye nguvu ambaye anasilaha zake ukifanikiwa kumfunga unamnyanganya kila kitu chake.Ufuno wa Yohana20:1-2Haya maono aliyaona Yohana ambapo shetani atafungwa miaka elfu moja na itakuwa miaka ya amaani ambayo kwenye Biblia inasema nyoka atacheza na mtoto, simba atacheza na kondoo ni kwasababu shetani atakuwa amefungwa.Luka13:10Yesu aliingia katika sinagogi ambapo leo ingekuwa ni kanisa na akamkuta mwanamke akamwambia umefunguliwa katika udhahifu wako. Shetani anaweza kufunga uzazi, anaweza kufunga nchi, anaweza kufunga bunge, anaweza kufunga elimu,kufunga akili, anaweza kufunga ndoa, anaweza kufunga uchumi, anaweza kufunga mawazo, anaweza kufunga mwili. Yesu aliingia kanisani na akamfungua mtu aliyekuwa na kifungo chenye muda wa miaka kumi na minane. Kumbe kanisani kama hakuna Yesu hauwezi kufunguliwa. Unaweza kumwona mtu anasema anamatatizo anahasira kila mara lakini hajijui kwamba amefungwa, mwingine amefungwa matatizo mengi ya magonj...

KUFUNGULIWA KUTOKA KWENYE MIZIMU,MASHETANI,MAPEPONA.VINYAMKELA PIA NA LAANA ZA UKOO

KUFUNGULIWA KUTOKA ROHO ZA MIZIMUMizimu (family spirit) ni mapepo yaliyotokana na malaika walioasi pamoja na shetani ambayo watu waliyafanya kama ndugu kutoka kizazi hadi kizazi.Mizimu no roho za shetani ambazo ni chukizo kwa MUNGUKumbukumbu 18:9-12 ''Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, MUNGU wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale.Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, MUNGU wako, anawafukuza mbele yako.''yanayozungumza hapo tuliposoma ni kuwahusu WAGANGA WA KIENYEJI, WACHAWI, WANAJIMU,WASIHIRI NA WANAOWAOMBA WAFU, mambo ambayo yote ni machukizo kwa MUNGU na wote hawa wanatumia mizimu kufanikisha mambo yao na kwa wale ...

JINA LA YESU NI UFUNGUO WA MAISHA YAKO

JINA LA YESU KRISTO – MOJAWAPO YA FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNIOctober 19, 2012 3:38 pm“Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milangoya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni” (Mathayo 16:18 – 19).Maneno haya ya Yesu Kristo yanatuonyesha kuwa, nia yake ni kulijenga kanisa lililo na mamlaka kuliko shetani. Kanisa ni mwili wake (Waefeso 1:22 – 23). Wakristo waliookolewa kwa damu ya Yesu Kristo ni viungo vya mwili wa Kristo – ni viungo vya kanisa (1 Wakorintho 12:12, 13,27). Kwa hiyo Yesu Kristo anaposema atalijenga kanisa lake wala milango ya kuzimu haitalishinda – ana maana ya kuwa, kila mkristo aliye wake anajengwa kiroho awe na mamlaka ya kumshinda shetani.Ni budi tufahamu ya kuwa, Yesu Kristo hawezi kutuambia tufungue kama hakuna kitu cha kukifungua. Hawezi kutuambia tufunge kama hakuna kitu ...